Kichina cha Sasa ni kitabu cha kilichoandaliwa kwa ajili ya wanafunzi wanaotumia lugha ya Kiswahili. Lengo la kitabu hiki ni kuwapa wanafunzi uwezo wa kuelewa na kuwasiliana kwa kutumia lugha ya Kichina, hususan uwezo wa kusikiliza, kuongea, kusoma na kuandika Kichina. Hii ni seti yenye kitabu cha kiada, kitabu cha mazoezi, na kitabu cha maandishi ya Kichina.
Sample Pages Preview
Kichina cha Sasa--kwa ajili ya wanaoanza kujifunza lugha ya kichin--Kitabu cha mazoezi